Wapendwa,hivi sisi wabongo mapenzi tunayachukuliaje,kwamba ni just kufanya ngono tu au?maana kuna mtu nimembania,kaninunia hii wiki ya pili sasa?

Ndio mapenzi yetu sie, ngono inaonekana kama ndio upendo, ndio maana mwanaume anapotongoza huwa anakuwa ameishamvua nguo mwanamke kihisia kwa hiyo anapokubaliwa, wazo lake nikukamilisha kitendo hahahaaa!!!!! Niwaume wachache unaweza date nae akakaa hata miezi mitatu bila kuzungumzia ngono lakini nae inategemea.
Wewe nikikuomba utanipa?si umpe...
Wapendwa,hivi sisi wabongo mapenzi tunayachukuliaje,kwamba ni just kufanya ngono tu au?maana kuna mtu nimembania,kaninunia hii wiki ya pili sasa?
mkuu mpe tu,mbinguni hamna kugegedana kule ni kuimba tu, huu ndo muda muafaka. usije enda na genye kule!!
JF where we dare to talk openely, vipi mkuu unataka tukupe u monitor huku????kuna watu mna comments za ajabu kweli
Hili lipo kwa wote hata Binti /dada ukiwa nae ktk mahusiano na humjani "msamba", atakutafutia majina ya ajabu. Ooooohhh joka la kimbisa n.k.