binti wa kikwere
Member
- Sep 5, 2014
- 67
- 34
Nimepata Rafiki wa kweli humu Ndani (dada wa makamu) baada ya kuandika kuwa nahitaji marafiki na hivi sasa tumekuwa kama ndugu tunasaidiana kwenye shida na raha.Kumbe hapa Jamii Forums ni tofauti na nilivyokuwa nafikiri zamani sio wote waliopinda wengine ni watu makini kabisa.