Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeona mada nyingi humu zinazingumzia masuala ya kulea watoto wasio wao na kusingiziwa watoto, mara nyingi mwanamke humsingizia mtoto mwanaume yule mwenye malengo nae au mwenye uwezo wa kulea...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Mimi ni mwanamke, nina mtoto mmoja i am 32, nilitengana na mume kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia jf kutafuta mwenza maana walio mtaani ndo hawa hawa walio JF aliye tayari...
3 Reactions
37 Replies
8K Views
Mie Kijana natafuta marafiki Wa kike wakubadirishana mawazo miaka 17-35 0765294111
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF, Kuna kitu huwa kinanichanganya hasa kuhusu kuoa au kuolewa yaani ndoa.Si mara moja wala mbili nimekuwa nakatishwa tamaa na kujihoji je huwa upo ukomo wa mapenzi ? Kuna mashauri...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Emmanuel MichaelkmNapenda nitoe maneno yafuatayoMtu mwenye sifa zifuatazo anafaa kuwa mke wangu au mkeo au mmeo 1.Awe mwenye heshima 2.Anaye mjua mungu japo mara moja kwa wiki 3.Asiwe mwepesi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
SEMA UKWELI MARA ZOTE, UTAPENDWA Maneno ya ukweli hayabembelezi... Na maneno yanayobembeleza sio ya kweli... Hivyo ni wajibu kwako kuchagua, unataka kutoa maneno ya kubembeleza au unataka kutoa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Show huezi, haya basi toa hela napo mbahili, bora basi ungekua handsome napo hamna kitu.. khe!! Usaidiwaje sasa😕
1 Reactions
126 Replies
16K Views
habar wadau kuna rafk angu tunaishi nae nyumba moja yaan tumepang kwenye nyumba yenye vyumba vwl na seble .sasa rafk angu almtongoza bint mmoja lkn akatolewa nje ila yule binti alionekana kunpenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mie nachukia na hii kauli ya "k" badala ya "ok" hivi ni dharau au nn
7 Reactions
117 Replies
12K Views
Habari wana jf, heri ya cikuku. Ndugu zangu naandika Uzi huu siyo kwa kujifurahisha bali ni kutoka moyoni, Mimi ni kijana wa kiume naishi Dar, Kikazi Nimeajiriwa na taasisi Ndogo ya fetha hapa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaam wanajf Mchumba wangu kipenzi ananishangaza sijajua hata nimueleweje! Iko hivi mchumba wangu anarafiki yake ambaye yeye na rafiki yake niliwafahamu wote wakiwa pamoja wakati tukifanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasalaam wanajf Mchumba wangu kipenzi ananishangaza sijajua hata nimueleweje! Iko hivi mchumba wangu anarafiki yake ambaye yeye na rafiki yake niliwafahamu wote wakiwa pamoja wakati tukifanya...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Habari wana jf, Natanguliza shukulani zangu kwa wana jf wote, Mimi ni kijana wa kiume nimeajiriwa na taasisi moja ya fedha hapa Dar, Nipo serious nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo, age...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
kuna maeneo hua nafanyia kz, akaja rafiki yangu nimesoma nae primary kuna ujenz alikua anafanya, nikawa napga nae stori maana nilitoka ofcn iv, akaja mdada pale jirani akawa ana kikaratas akampa...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Baada ya mkemia kutoa takwimu ile kuna watu wengi watataka kwenda kupima ili kujua kama watoto ni wao. Naomba serikali iwe makini hapa wakiruhusu kila mtu kupima itapelekea watoto wengi wa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Kila ninaempenda kwangu anawahi kuchuja na anapoteza thamani ndani ya mda mfupi... Wanajukwaa naomba ushauli wenu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini Wakuu, Kuna siku nilikuwa duka flan hivi na pembeni mwa dirisha la duka hiyo kulikuwa na ubishani mkubwa pamoja na matambo kutoka kwa wachagga wawili wakijisifia kuwa wao wanajua sana...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
nawatakia sikuu njema yenye fanaka na baraka tele wana mmu wote mungu awatangulie
1 Reactions
1 Replies
849 Views
Heshima kwenu wote, Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka kumekuwa na tabia za baadhi ya watu kukwepa majukumu yao kwa makusudi hasa waliokuwa kwenye mahusiano ya mapenzi iwe ni mke au girlfriend...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…