Natafuta mchumba wa kuoa

mwanairinga

Senior Member
Dec 21, 2015
179
12
Habari wana jf, heri ya cikuku. Ndugu zangu naandika Uzi huu siyo kwa kujifurahisha bali ni kutoka moyoni, Mimi ni kijana wa kiume naishi Dar, Kikazi Nimeajiriwa na taasisi Ndogo ya fetha hapa Dar, Nipo seriously nahitaji mchumba wa kuoa na vigezo ni kama ifuatavyo; Mweusi wa wastani, mnene na u refu pia wa wastani kwa sababu mimi ciyo mrefu xana, awe mkiristo na miaka Kati ya 24 hadi 27, NB awe tayali kwenda kupima HIV kabla ya jambo lolote, Asahnte!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom