Kama hupendi gharama soma hapa!

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,381
Heshima kwenu wote,

Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka kumekuwa na tabia za baadhi ya watu kukwepa majukumu yao kwa makusudi hasa waliokuwa kwenye mahusiano ya mapenzi iwe ni mke au girlfriend au mchepuko.

Wengine wanapenda kugegeda tu,vya bure siku hizi HAKUNA.HAKUNA UBWETE.

Ushauri wa BURE upo hapo chini!
attachment.php

Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2016!
 

Attachments

  • Majukumu.jpg
    Majukumu.jpg
    37.3 KB · Views: 3,072
Kwani mi babaako mpaka nikugharamie....................................................
 
Ha!Ha!Ha! kama ulipenda kugegeda kugharamia muhimu,mtamwagwa na kuchapiwa kila siku afu mnakuja jf mnalialia 2 hapa tukushauri nini wakati ubahili ndo kipaumbele chako!! Achana Na Ulofa Mwanaume!!!
 
lazima agaramikiwe bwana xo unamuona kapendeza ukaongozana nae barabaran ukasifiwa unafurah wakat ata hela ya salun hujui anatoa wapi mwisho wa siku ndo kulia ooh dem kachepuka ooh kaniachaa
 
Hata umgharimie vipi cha wote ni cha wote kumbuka mlionana wapi? Siku ya kwanza
 
Badala ya kugharamiwa wengi wamekuwa wauzaji wa huduma ndani ya mahusiano. Tamaa mbele mapenzi hakuna
 
Ha!Ha!Ha! kama ulipenda kugegeda kugharamia muhimu,mtamwagwa na kuchapiwa kila siku afu mnakuja jf mnalialia 2 hapa tukushauri nini wakati ubahili ndo kipaumbele chako!! Achana Na Ulofa Mwanaume!!!

Hahaha....alafu sasa msilalamike tukiwa twagegeda na kuwaacha. Mkubali kuwa kama wataka mwanaume mwenye pesa basi nawe utachukuliwa kama chombo cha starehe
 
Haya mapenzi bwana!
Ata ujibidishe vipi kwenye show, usipohonga ni Zero. Na ukihonga ila show ukaboronga, ni Zero pia.

Hizi genye zitatuua maskini!
 
Kugharamia sioo mpaka wakutogongewa kama mwanamke ni wa ukooo ni utagongewa tuu hata umpe nn
 
Back
Top Bottom