Kauli zipi zinazokuchukiza hapa duniani?

Ninachukia sana mtu anapojifanya kutoa ushauri halafu anaishia kusema "Utafanya nini sasa", au "ndiyo hivyo tena hakuna jinsi".

Ni uvubutu wa mawazo, ujinga wa kufikiri na upumbavu tu wa kumkatisha mtu tamaa ya kutafuta ndoto zake ama kile anachokiamini.
 
Nachukia sana watu wenye vijimaneno vya kujikweza na kushusha wenzao.
Kwa mfano: Hamna kitu, unajua nini wewe, huo ni ushamba tu, unakuwa kama vile hujasoma bhana, n.k.
 
Nachukia xana wa2 wanao muongelea vibaya Mrembo by nature cjui ni kwann
 
Last edited by a moderator:
Nachukia sana pale unapomtongoza mwanamke halafu anakujibu kwa dharau

Eti ebu jiangalia juu mpaka chini kisha nambie wanisumbua nini wakati huna hadhi ya kutembea na mimi.BADILIKENI BHANA KWA KUJIBU MAJIBU MAZURI HATA KAMA SIYO HADHI YAKO.
 
Nachukia MTU akipata tatizo lolote watu wengi wanamuda mwingi Wa kuangalia au kusikiliza kukuambia'masikini Weee'nasio kukushauri na kukusaidia.
 
Nachukia sana pale unapomtongoza mwanamke halafu anakujibu kwa dharau

Eti ebu jiangalia juu mpaka chini kisha nambie wanisumbua nini wakati huna hadhi ya kutembea na mimi.BADILIKENI BHANA KWA KUJIBU MAJIBU MAZURI HATA KAMA SIYO HADHI YAKO.

Hajakuzalau man ila mm apo nahis amekupa changamoto...work hard,people fall to succefully people
 
Back
Top Bottom