Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 752
kuna maeneo hua nafanyia kz, akaja rafiki yangu nimesoma nae primary kuna ujenz alikua anafanya, nikawa napga nae stori maana nilitoka ofcn iv, akaja mdada pale jirani akawa ana kikaratas akampa yule rafiki yangu akamwambia mpe yule kk palee akapoint nikamchek ata cmfaham na ni mgeni yale maeneo nikakichek kina namba za cm na jina lake, yy akawa kakatiza nyuma ya nyumba fulani iv,kwa kwl nikabak nawaza tu jnc wadada cku iz wamekua na confidence cjui ila cjaangaika ata kumtafuta maana naogopa wacje niachia virus bureee