Sasa kama unashindwa kumtunza na ni wakwako ataachaje kuchuja?
Mlishe vizuri,hakikisha anafanya mazoezi na kupaka mafuta mazuri ya kutelezesha ngozi...ila pia itabidi uhakikishe security maana kuna Mamende huwa wanapenda ready made tu.
Jamani mm kwa mala ya kwanza na kipindi namtongoza namuona mwenye thamani kubwa na mwenye mvuto.... Ila akishanikubalia tu ule uzuri wake unapotea machoni pangu kbsa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.