mpenz wa rafiki

mkd

Member
Aug 8, 2015
26
0
habar wadau kuna rafk angu tunaishi nae nyumba moja yaan tumepang kwenye nyumba yenye vyumba vwl na seble .sasa rafk angu almtongoza bint mmoja lkn akatolewa nje ila yule binti alionekana kunpenda mm na mpk sasa hv imeshaonekana dhahr kwamba ananpenda kwan hata tunda alniinjesha sasa naomben ushaur namna ya kuish na huyu bint maana nashindwa kuelewa rafki angu atanielewa vp
 
Ungeomba ushauri tokea day one

Heri ya kirisimasi lakini
 
Kama jamaa alipulizwa mbna taabu hakuna japo ulifanya branda jamaa alivyo pulizwa ungemwambia ngoja nijitose kama dem uliona yuko pande yako.

ila ongea najamaa
 
habar wadau kuna rafk angu tunaishi nae nyumba moja yaan tumepang kwenye nyumba yenye vyumba vwl na seble .sasa rafk angu almtongoza bint mmoja lkn akatolewa nje ila yule binti alionekana kunpenda mm na mpk sasa hv imeshaonekana dhahr kwamba ananpenda kwan hata tunda alniinjesha sasa naomben ushaur namna ya kuish na huyu bint maana nashindwa kuelewa rafki angu atanielewa vp

Sasa umesha Kula tunda ushaur wa nn mkuu endelea kujilia zako polepol e hana nyumba mkaishi mbali
 
habar wadau kuna rafk angu tunaishi nae nyumba moja yaan tumepang kwenye nyumba yenye vyumba vwl na seble .sasa rafk angu almtongoza bint mmoja lkn akatolewa nje ila yule binti alionekana kunpenda mm na mpk sasa hv imeshaonekana dhahr kwamba ananpenda kwan hata tunda alniinjesha sasa naomben ushaur namna ya kuish na huyu bint maana nashindwa kuelewa rafki angu atanielewa vp

Umenikumbusha kama miezi 6 nyuma kuna rafiki yangu mmoja aliniambia kuwa nimemyanganya demu wake wakati yeye katongoza akatolewa na demu. Mimi kumfata demu hapohapo imejipa kama bahati nasibu za hapo kwa papo hahaha sasa rafiki yangu huyu ambae ndio best friend wangu kumbe ilikuwa inamuuma sana wakati nikiwa na yule demu wangu.Na huyu demu nilitokezea kumpenda kikweli kweli ingawa bado yupo moyoni lakini kilichotufanya tutengane tupo nchi tofauti sio kama tumewachana ila. Bahati mbaya sote sasa tumemkosa kishaolewa na jamaa mwengine na kishazalishwa miezi mitatu iliopita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom