Habari za shamrashamra za Xmass wanaMMU.
Kama heading inavyosomeka. Siku hizi mtu ku engage katika mahusiano na mke wa mtu imeonekana kuwa dili kuliko kwa msichana/mwanamke ambaye hajaolewa...
Mwaka 2015 huooooo unaisha na leo natamani kuyazungumzia kulingana na kichwa cha habari cha mada hii.
1)TAFUTA MKE AU MUME
Hii itakuwa msaada wa kukujengea heshima ndani na nje ya jamii yako ila...
Tuanzapo mahusiano tunamini huyu sawa na yule lakini rahasha ebu tukipata wapenzi tutulie hata tukigundua mwenza wetu hawajatulia basi sisi tutulie tujikinge tu na maradhi mwisho wa siku nao...
Yaani wanapokuwa sita kwa sita sijui akili zao zinaendaga wapi maana huwaga hawakumbushii suala la uvaaji wa kinga hata kama hajui status ya boy wake. Mi imenitokea kwa mademu kama watatu hivi...
Umefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi? Maana maadili...
Wakuu salamu na heri ya mwaka mpya (2016)
Kiukweli mwaka nimeuanza vzr nimetoka kufurahia na rafiki zangu ni burudaani. Ila sasa nimerud kwangu huku nikiwa bwax kdogo kama kawaida raha ya pombe...
Uefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi?
Uefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi?
Hamna asiyekubaliana na hili kuwa mkeo akitembea na mwanaume nje ya ndoa yenu inauma sana na pale utakapogundua kakubambikia na watoto wenu kuwa sio damu yako hapo utatamani usingezaliwa maana...
Wanaume mlooa jueni kuzihendo ndoa zenu nyie ndio mmekua chanzo cha kuharibu watoto wetu mnaturudia usiku mkiwa mmelewa, mnatutukana mbele ya watoto mnatupiga nk, mtoto hujifunza baya na zuri...
Habari wakuu.. Kuna mdada mmoja humu ndani bhana alinikosha sana na comment yake moja kweny thread flani hivi mwaka 2015.
Alicomment hivi...
"dushe mkononi.. Papuchi kwa jirani"
Dah.. huyu dada...
Happy new year MMU ladies and gentlemen. On my side I give Glory to God for keeping me safe and sound to this 2016..... hopes you too.....
Kasie this time alizongwa dakika za mwisho kabla...
Habari wakuu
Mimi nina kaka yangu(sio wadamu) .sasa huyu kaka yangu ameoa tena anasema mke wake alimfukuzia for 3 years kabla ya kukubali na kumuoa tena alimkuta bikra na anampenda sana.
Sasa...
UKIIBA KITU HIKI UTABAKI NACHO MILELE
Ukiiba fedha huwezi kubaki nazo milele, ipo siku utakamatwa kwa wizi wako na hata usipokamatwa basi utazitumia na zitaisha.
Ukiiba uongozi hutakaa nao milele...
Habari za leo wapendwa! Naombeni mawazo yenu juu ya hili swala lilikuwa Dogo sasa naona limekuwa tatizo kwangu,
Nina mke na tuna mototo mmoja mototo wetu ana miaka miwili kasoro sasa! Tatizo...
kuna mtu anahitaji msaada wangu na nahisi siwezi kumshauri vizuri sana kutokana na itikadi zangu dhidi ya wanaume.
Huyu dada kanijia, alikuwa na mpenzi wake wamekaa wote kwa miaka 2 na walikuwa...
Wakuu naomba kuuliza, kugegeda na kupiga bao moja kila siku au kila baada ya siku moja, na kugegeda ukapiga bao tatu au tano ikisha ukakaa wiki au mwezi ndo ukagegeda tena, kiafya ipi bora hususan...