chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,396
- 24,974
Habari za shamrashamra za Xmass wanaMMU.
Kama heading inavyosomeka. Siku hizi mtu ku engage katika mahusiano na mke wa mtu imeonekana kuwa dili kuliko kwa msichana/mwanamke ambaye hajaolewa.
Naomba kupata experience kutoka kwenu wajuzi wa mambo. Kuna faida/unafuu gani mtu anapoamua kujilipua na mke wa mtu ilhali akina binti/dada wengi wapo ambao bado hawajapata wenzi.
Just your comment. Matusi na kejeli hapa si mahala pake.
Nipo katika utafiti mwaka wa tatu huu nakaribia ukingoni na nikishakamilisha nitawaletea mrejesho wakuu.
Regards!!