Jirani ananipa shidaa (2016)

BansenBurner

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
6,835
Points
2,000

BansenBurner

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
6,835 2,000
Wakuu salamu na heri ya mwaka mpya (2016)
Kiukweli mwaka nimeuanza vzr nimetoka kufurahia na rafiki zangu ni burudaani. Ila sasa nimerud kwangu huku nikiwa bwax kdogo kama kawaida raha ya pombe urudi ulale nayo..ila tabu anayonipa mpangaji mwenzangu ni ngumu sana. Wakat natoka aliniuliza unaenda wapi m nikamjibu kiwanja kuukaribisha mwaka mpya akacheka na kutikisa kichwa yan kama m napotea vle au nachofanya sio sahh na khanga yake 1.
Mi nikasepa sasa narud nakuta miguno saut za ajabu toka chumbani kwake ad nashindwa kulala sahv sa10 tabu nayopata hapa adi tungi imekata. Najiuliza mm au yy nan kaukaribishwa mwaka kiajabu?
Pia nimwambie asubuhi kuhusu hili swala lilivyoniumiza au niache tu itanisababishia nikose mzigo maana nahisi kama namtaka pia.
 
tinto

Senior Member
Joined
Nov 16, 2015
Messages
100
Points
225

tinto

Senior Member
Joined Nov 16, 2015
100 225
Hah hah hah sasa umwambie nini apo jamani huoni utakuwa umemuingilis personal life ya mtu. Jaman!nazani busara ni kukaa kimya tu
 
Chakochangu

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
2,544
Points
2,000

Chakochangu

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
2,544 2,000
Wakuu salamu na heri ya mwaka mpya (2016)
Kiukweli mwaka nimeuanza vzr nimetoka kufurahia na rafiki zangu ni burudaani. Ila sasa nimerud kwangu huku nikiwa bwax kdogo kama kawaida raha ya pombe urudi ulale nayo..ila tabu anayonipa mpangaji mwenzangu ni ngumu sana. Wakat natoka aliniuliza unaenda wapi m nikamjibu kiwanja kuukaribisha mwaka mpya akacheka na kutikisa kichwa yan kama m napotea vle au nachofanya sio sahh na khanga yake 1.
Mi nikasepa sasa narud nakuta miguno saut za ajabu toka chumbani kwake ad nashindwa kulala sahv sa10 tabu nayopata hapa adi tungi imekata. Najiuliza mm au yy nan kaukaribishwa mwaka kiajabu?
Pia nimwambie asubuhi kuhusu hili swala lilivyoniumiza au niache tu itanisababishia nikose mzigo maana nahisi kama namtaka pia.

Dah! Kweli Waswahili walisema, Kwenye miti hakuna Wajenzi.
Na Upele umpata hasiye na kucha.
Jana wakati unatoka ,alipokuuliza huku akiwa amevaa kanga moja. ulikuwa hukumuelewa?
Kuna fasihi za aina mbalimbali ,siyo fasihi andishi tu.
 
Forum statistics

Threads 1,391,377
Members 528,393
Posts 34,079,538
Top