Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,208
- 4,406
Mwaka 2015 huooooo unaisha na leo natamani kuyazungumzia kulingana na kichwa cha habari cha mada hii.
1)TAFUTA MKE AU MUME
Hii itakuwa msaada wa kukujengea heshima ndani na nje ya jamii yako ila kuwa makini katika kumchagua mume au mke bora.
2)SAHAU UBOY FRIEND NA UGIRL FRIEND.
Hii ni msaada kwa kwako kwani hakuna rafiki wa mtu mmoja.
ni bora kuwa wachumba ili muwe na malengo ya kudumu na kweli.
3)USITAMANI KILA UKIANACHO.
Hili ni janga hasa kwa wanaume wengu wenye macho ya fisi.
kumbuka hata mwisho wa siku utapata mke mwenye mawazo ya fisi,hivyo tulia.
4)ACHANA NA MICHEPUKO
kwani kubadilisha mwanamke au mwanaume hiyo ni akili ya kinyama na siyo kibinadamu na hivyo ukishindwa jitoe katika kundi la watu.
5)KUBALI KUHONGEKA.
Ewe mdada ambae unakaa na kusubiri kuhongwa, ni vyena ukajibadili kwani mwisho wa siky utajihisi unamkosi pale utapotoswa kuwekwa ndani kwani ni wachache sana wanaokubali kuchukua kitu kilichotumika hovyo,fikiria.

Last edited by a moderator: