LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,362
- 27,183
Umefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi? Maana maadili ya dini hayaruhu kujuana kabla ya harusi.
Last edited: