Uefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi?
Kwa mwanaume lazima ujitahidi kufanya uchunguzi kwa mwanamke wakati wa uchumba kupiga kabisa kama itakuwa ngumu hata upapase sehemu ili ujue kama ipo na kama ipo ipo kwenye shape ipi hili ni muhimu sana....Kwa wanawake lazima uhakikishe umefanya uchunguzi na mchumba yako kabla ya ndo ili ujue kama sehemu ile ipo ama hamna lakini upime size kama itakuwa undersize ama oversize wengine wanamikono ya watoto ukija gundua hilo kwenye honey moon sijui utaenda elezea umemkimbia mumeo kwa ajili ya nin.hii ni muhimu sana kwenu kucheck size...how utajua wewe mwenyewe...
Ndiyo maana siku hizi huwa vijana wanonja kwanza. Siyo kuzikosa nyeti ama kukuta nyeti zote 2 zipo tu. Kuna issue pia ya jamaa/ demu kuwa ana koroma kama simba mzazi ama ana kojoa kitandani usiku. Kuna issue ya incompatibility of genitalia..mwenzio bwawa wewe kibamia, ama ana mtwangio na mwingine tundu la sikio. Halafu yaweza tokea mwenzako ni kichaa wa kupenda ngono, wewe unataka aste aste ulale. Patachimbika!
Kuonja muhimu tena usiku kucha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.