habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,743
Mabibi na mabwana nawasalimu kwa jina LA Mungu Muumba mbingu na dunia. Km kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, huyu baba ana mke na watoto wa tano wa mama tofauti tofauti, mke wake wakwanza alifariki namfaham tumetoka kijiji kimoja huko Muheza, huko nyuma niliwahi kusikia anatoka na binti yake siku amini.
Km mwezi umepita nilifiwa na kaka binamu, nikaenda msibani na yy pia alikuja, mida ya jion tulitoka madada na makaka kunyoosha miguu kundi kubwa tu na yeye akiwapo, tulipita kilabuni tukaweka kituo hapo wapenzi wa mnaz, boa, bia waliagiza wakaanza kunywa na story za hapa na pale, me si mnywaji hivyo nilipewa kaz ya kubeba simu.
Wakati tuko pale mwanae alikuwa akimpigia sana simu, anatoka kidogo wanaongea anarudi, baadae tulirudi msibani, tukakuta mziki wa kwaya tukaanza kucheza na yeye akiwapo simu za watu nyingi nilikuwa nazo na yake pia mwanae akampigia tena nikampa wakati huo kishalewa, akamfokea kidogo akanirudishia ile simu, muda kidogo akaondoka kulala, nikabaki na simu yake Mara SMS ikaingia yule binti akimlaumu baba yake kwamba anamfokea bila sababu au nyupo na mwanamke mwingine? Nilishangaa nikapotezea tu, ilikuwa hainiingii akilini, nikafikiri labda kamsevu huyu mchepuko kwa jina na mwanae ili akipiga km yupo na mkewe isiwe tabu.
Kubwa kuliko sasa Leo asubuhi alinipigia nikachukue mzigo Fulani hiv, akanambia alipo nikamfuata, kufika nikamkuta Yupo na binti yake, tukasalisamiliana Hapo, sasa huo mkao binti aloukaa mbele ya babake, na hayo mavazi aliyovaa niliduwaaa, kilichonishangaza zaidi alikuja kijana mmoja akaambiwa aindoke na binti, binti sijui alikuwa hataki bwana weee!!, binti alianza kuongea km kafungiwa mota mdomoni, baba waniambia niondoke wakati safari yetu bado haijaisha, siku hizi umekuwaje lkn?? Km una mwanamke mwingine unambie, nadhani walikuwa wamepishana kabla hata kufika pale, babake aliona aibu sanaa binti karopa vitu mbele ya wageni me na yule kaka alokuja kumchukua, tulivyoona hali si hali tukaondoka, sasa tulipotoka nnje nikamuuliza yule kijana akanipa mkanda wote kwamba pale ni MTU na mpenzi wake na huyo kaka ndo dereva wake japo alikuwa hajui km ni baba na mwana me ndo nilimwambia na Mara nyingi ndo anamchukuaga.
Kwakweli imeniuma sana hiv wanawake wameisha hadi ulale na binti yako??? Aiseeee!! Sitasahau tukio LA leo