Kupima UKIMWI

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,788
23,056
Kupima UKIMWI ni vizuri kufahamu afya yako ikoje.Kuna sababu gani kuongozana na wapambe kwenda kupima mimi na mpenzi wangu kabla ya harusi? Mimi na mpenzi wangu tunapendana sana,tunalazimishwa tukapimwe ndiyo tufungiwe ndoa.
 
ndio ukapime unataka watu wajue unataka uzae watoto bila kujua afya yako baadae waanze kuangaika na yatima
 
Kupima UKIMWI ni vizuri kufahamu afya yako ikoje.Kuna sababu gani kuongozana na wapambe kwenda kupima mimi na mpenzi wangu kabla ya harusi? Mimi na mpenzi wangu tunapendana sana,tunalazimishwa tukapimwe ndiyo tufungiwe ndoa.

lazima ukapimwe tena mbele ya mshenga kutokana na sheria za imani na pia inaruhusiwa kuto kuruhusu ndoa kama mmoja wenu kaathirika. nimeona mara nyingi watu huwa wanasema wanapendana lakini ukiwapima na ukakuta mmoja kaathirika huwa wanakimbia.

sio lazima unapokwenda kupima uende na watu ingawa ugonjwa ni siri ya mtu. ila kwa sheria za dini kama TAG lazima mchungaji athibitishe kuwa nyie wote mko salama na ndio ndio afungishe hiyo ndoa.sema vijana wa siku hizi huwa wanachakachuana kabla hata ya kupima waa kwenda kwa mchunganji na ndio tatizo linakuja hapo
 
Back
Top Bottom