Nmekaa muda sasa wa miaka miwili bila relationship,huku nikitafakari,jinsi maisha yanavyotakiwa kwenda,pamoja na kufanya maendeleo binafs.
Back to the topic,niliwah kuwa kwny mahusiano na dada fulan,ambaye tulidumu for some years,kabla kuachana. Sababu iliyopelekea kuachana ni yy kutaka kuolewa haraka ilihali mie nlkuwa bado nasoma alafu nilkuwa bado dependent,so iliniwa vigumu kwangu,coz bint alkuwa ananzd umri,so nlshindwa kufunga naye ndoa.Bahati nzuri nilimuelezea ukweli naye akanielewa by that time. Sasa wanajf forum ni wkt wangu wakupata tulizo la moyo wangu,mtu ambaye tutatengeneza future.
So nahitaji binti awe 25 years,mkristo itafaa zaid,hata kama muislam awe ready kubadilisha.
Mimi npo late 20's ,so mwenye interest na kuingia kwny serious relationshp pllz look for me via PM. Mwsho mwaka mpya mwema,matusi na kejeli siyo mahali pake ,ukiona haikuhusu pita kimya