Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Jamaa ana miaka 29 anaitwa Kaydine Colleman Raia wa Marekani amekuwa mmoja kati ya Wanaume walioshika mimba na kujifungua.
Taarifa iko hivi, alizaliwa akiwa mwanamke aliyetimia kabisa na akafanikiwa kupata mpenzi wa kiume aitwae Elijah, sasa baada ya kufikia miaka 27 akaamua kuanza harakati za kujibadilisha jinsia kuwa mwanaume, wakati amepewa dawa za awali za kupunguza Homon za kike mwilini, akagundua kuwa ni mjamzito.
Ameamua kuilea mimba na sasa hivi ameshajifungua mtoto wa kike, ila ndio hivyo kama anavyoonekana zoezi limekubali na amekuwa#kidume