Nnikiwaacha wanaolewa

mamaur

Member
Feb 16, 2013
75
42
Habari zen wana jukwaaa.
Hope mwaka vizuri. Kwa upande wangu naona nina kamkosi
Wanawake watatu waliopita kila tukiachana tuu ndani ya miezi kadhaa wananiambia kuwa wanaolewa sasa nashangaa inakuwaje sasa yaani baada ya miezi tuu wao wanaolewa na mie nabaki tapa tuu na mke?

Au hawa alikuwa jemba zao baada ya mie kuwabwaga anajirudisha kwa majamaa wao?
 
hahah walikuwaga na mpango wa kando so ukizingua wanajibebisha zaidi kule mwishowe jamaa wanavuta ndani * just thinking loudy
 
waolewe wao uumie wewe? oa na wewe kwani tatizo nini? nawaza tu kwa sauti.!!!
 
Mwaka huu ebu jaribu nawe kuwaacha uone nao watasikia tu baada ya miezi kadhaa, ila usisahau kuleta mrejesho.
 
Habari zen wana jukwaaa.
Hope mwaka vizuri. Kwa upande wangu naona nina kamkosi
Wanawake watatu waliopita kila tukiachana tuu ndani ya miezi kadhaa wananiambia kuwa wanaolewa sasa nashangaa inakuwaje sasa yaani baada ya miezi tuu wao wanaolewa na mie nabaki tapa tuu na mke?

Au hawa alikuwa jemba zao baada ya mie kuwabwaga anajirudisha kwa majamaa wao?
Angalia movie Moja inaitwa Goodluck Charm. Labda nawe una kagundu kama ka mshikaji yeye akigonga wanawake wanaolewa ila yeye hadumu kwenye mahusiano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom