SEHEMU ZA SIRI

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,819
23,094
Uefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi?
 
Ndo maana n vizur kujuana kabla ya ndoa kuliko kusubir ndoa ndo mjuane maana mkijuana kabla inakua rahis pia kujua matatizo kama hayoo..
 
Uefungiwa ndoa na mwenzi wako ambaye hamkuwahi kukutana kimwili kabla ya ndoa.Je ukikuta hana sehemu za siri au *ana mbili*,au ipo lakini umbile lake si la kawaida,hiyo ndoa vipi?
Kama ana umbile ambalo siyo kawaida ndoa inaweza kutenguliwa bnaaa
 
Uwezekano wa kuitengua ni mkubwa sana. Tafsiri halisi ya Ndoa ili ikamilike ni tendo la ndoa kufanyika ipasavyo, na nguvu zinazoelekeana. Maumbile huwa siyo sababu kubwa sana ya Ndoa kuvunjika, labda yawe Abnomal, mfano mumeo ama mkeo huyo ana umbile kubwa hadi kumuangalia mara mbili unaogopa, hapo kama ni wa kiume pete itamuhusu, kama ni wa kike daah hili huwa haliongelewi sana. Na huyo atakayevishwa pete, ni zile ndefu na nyembamba, na sio ndeefu kama mguu wa mtu mzima na nene, hapo kama ni binti uombe talaka. Kama hana sehemu za siri, automatic hakuna ndoa hapo, kama anazo sehemu mbili, mtaelewana na kuvumiliana tu. Wapo wenye sehemu mbili za siri na wanaishi na wenza wao kwa usiri mkubwa tu.

UELEWA NA MTAZAMO WANGU.

Ahsante!
 
Apana ila watu wanachanganya abali wanashindwa kutofautisha kati ya harusi na ndoa...


Ni kweli kuna tatizo hapo. We una maoni gani kwa maisha ya sikuizi haya, watu wajaribu kabla au wasubiri suprise baada ya kuoana?
 
Baada ya vipimo bola tu wajalibu kabla unaweza kufanya suprise ukakutana na machine ya ajabu


Exactly. Wote tunampenda Mungu ila maisha yamebadilika. Kwa sisi wanaume unaweza ukakutana na bonge la bwawa na ushajocommit. Hivi huwa inatibika hii kitu?
 
Haitibiki ni maumbile ya mtu ukikutana nalo we piga mbizi tu


Dooh! Basi kuna jamaa huwa analia lia hilo jambo kuhusu wife wake ndio kusema atakoma. Ndio maana kujaribu muhimu ila ndo hivyo tena watu wanaweza kutangaza ndoa ili watest na kukimbia
 
Back
Top Bottom