bbwaoy
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 466
- 468
Mwaka unaisha hivo... pengine mwakani kuna wenye mipango yaku oa au kwa lugha nzuri zaidi kuvuta jiko.
Je, utajuaje kwamba mwanamke ulie kutana nae ghafla bin vu ndio pengine mwanamke wa maisha yako. Mimi naamini kabisa mwezi 1 una uwezo wakupata dalili za awali kabisa kwamba huyu ndie wa ubavu wangu au changa la macho.... Dalili tafadhali??