Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Hayawai hayawi sasa yamekuwa!!!
Kijana mmoja mtaa wa jirani amefumaniwa akitoa bikra ya binti wa bosi wake. Imetokea mchana huu ndani ya gari ambayo kijana huyo huendesha.
Mtoto alikuwa geti kali maeneo ya Masaki na kama kawaida ya bosi huwa anarudi mchana kwa luch nyumbani...kumbe binti ana mawasiliano ya muda na kijana huyo kwa jina la Olimbi kwa njia ya Whatsapp, basi wakati mzee yupo ndani anakula, binti akanyemelea na kuzama ndani ya gari ambapo uzalendo ukawashinda na kujikuta wakivunja ile amri ya nane, binti akapiga mikelele...wenye nyumba wakatoka ndani wakidhani kuna mtu anamtendea unyama..mara wanaona gari inatingishika na ndipo walipofungua mlango na kukuta wameshachelewa maana bikra ndo hivyo imeshaondoka.
Habari zaidi baadae kwenye updates, kwa sasa kijana yupo polisi pale Osterbay kwa kosa la kutoa bikra.