Duu hii ni hatari

Majhura fikiri

Senior Member
Jul 11, 2015
121
13
Habari wana JF,

Wenzangu zatoka mwakajana?

Swali langu ni hili kwanini wanawake walio olewa wanapenda kamchepuko?
 
Last edited by a moderator:
kwa sababu umepunguza mautundu ulokuwa ukimfanyia kabla hamjaoana
 
Kamchepuko ambako ni wewe sio? Subiri ukioa mkeo apende kamchepuko pia ndo utaelewa
 
Na kwa nini wanaume wanapenda kuwafanya wanawake walioolewa michepuko yao?
 
Back
Top Bottom