Majina ya kike yaliyonivutia 2015

mkuu sasa mbona majina yote hayo ni ya mtu mmoja tu? tena ni ya huyo namba mbili. kheri yangu mimi mwenye id yangu hii hii tu moja na naipenda mno na sana.
Hata kama ni mtu mmoja haina shida kwani nime orodhesha majina ya kike tu , na si uhalisi wa muhusika ..

Na kama ni kweli kuwa yatakuwa ya mtu mmoja kama unavyodai, hatuna budi kumpongeza kwani anajua kujipendelea kwenye kuchagua majina ya kuvutia
 
Last edited:
Back
Top Bottom