Nilichokiona usiku wa kuukaribisha mwaka

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,755
Wapendwa hongereni kwa kuona mwaka 2016, Jana nilitoka nyumbani midaa ya SAA NNE unusu usiku, lengo langu ilikuwa ni kuzunguka na kuona mji ukoje na watu wameupokea vip mwaka.

Nilipotoka nilifika sehemu nikakaa nakuagiza Pepsi na maji, baada ya SAA sita kufika vigelegele na kelele za furaha zilitawala, baadae nilitoka kuanza ziara yangu rasmi, hatua chache tu kutoka nilipokuwa nilikutana na kituo cha dada poa, hakika walionekana kuwa na furaha na biashara yao ilikuwa na wateja wakutosha, nilisimama dk 5 nikasepa, mbele nilikutana na makundi mawili ya watu wakiimba kufurahia kuingia 2016, niliekea eneo lingine huko nilikutana na vibaka wanamkimbiza dada mmoja wanataka kumpora nilipita haraka, sikukomea hapo niliendelea mbele nikakutana na askari wakiangalia usalama.

Safari yangu ya mwisho nilipita eneo ambako huko kuna makaburi, niliwakuta watu wameshikiilia misalaba na miguno ya hapa na pale wakingonoka juu ya makaburi hayo, huku mmoja wao alisika akisema hakika huu mwaka utakuwa mzuri kwangu (kwake) kwa jinsi unavyonifanya nahisi Niko peponi!!.

Nikifika nyymbani SAA tisa na madakika, hayo ndiyo niliyojionea usiku wa mwaka mpya,

Si mbaya nawe ukatuambia ulichona
 
Kwenye hayo makaburi inaelekea ulisimama sanaa mpaka umesikia sauti kabisa duu umefaidi
 
hongera umeanz
Wapendwa hongereni kwa kuona mwaka 2016, Jana nilitoka nyumbani midaa ya SAA NNE unusu usiku, lengo langu ilikuwa ni kuzunguka na kuona mji ukoje na watu wameupokea vip mwaka.

Nilipotoka nilifika sehemu nikakaa nakuagiza Pepsi na maji, baada ya SAA sita kufika vigelegele na kelele za furaha zilitawala, baadae nilitoka kuanza ziara yangu rasmi, hatua chache tu kutoka nilipokuwa nilikutana na kituo cha dada poa, hakika walionekana kuwa na furaha na biashara yao ilikuwa na wateja wakutosha, nilisimama dk 5 nikasepa, mbele nilikutana na makundi mawili ya watu wakiimba kufurahia kuingia 2016, niliekea eneo lingine huko nilikutana na vibaka wanamkimbiza dada mmoja wanataka kumpora nilipita haraka, sikukomea hapo niliendelea mbele nikakutana na askari wakiangalia usalama.

Safari yangu ya mwisho nilipita eneo ambako huko kuna makaburi, niliwakuta watu wameshikiilia misalaba na miguno ya hapa na pale wakingonoka juu ya makaburi hayo, huku mmoja wao alisika akisema hakika huu mwaka utakuwa mzuri kwangu (kwake) kwa jinsi unavyonifanya nahisi Niko peponi!!.

Nikifika nyymbani SAA tisa na madakika, hayo ndiyo niliyojionea usiku wa mwaka mpya,

Si mbaya nawe ukatuambia ulichona[/QUOTE

hongera umeanza mwaka vizuri mkuu
 
Hukubeba kamera/simu ili usapoti uzi wako???
 
Nilijipa kazi ya kufanya doria, nyumbani palikuwa Pana niboresha, nisemeshwe na nani mkuu

Mkuu hukupata hata nafasi ya kupita maeneo yenye kanisa kuangalia watu wanavyosifu na kuabudu kuupokea mwaka mpya?
 
Story kama imekatishwa haujamalizia ulipofika home saa tisa ukamkuta mwandani wko kaenda kupigishwa fataki za kuukaribisha mwaka....
 
Mkuu kuna story umeiruka hapo. Kwa 'analisis' zangu, haiwezekani utoke pale saa sita then unafika home saa tisa. Yaani umetembea kwa muda wa masaa matatu halafu story yenyewe ya survey yako ina-cover kama 45 minutes hivi. Kuna kipande cha story about 2 hours umetuficha. Kwa Psychic power zangu, hicho kipande kinahusu pale kwenye kituo cha dada poa na makaburini. Hebu tueleze bana.....muda mwingine wote ulikuwa wapi!!!!!
 
Back
Top Bottom