housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,191
Nasikitishwa na haya majina nayosikia wadada wanaitwa kila siku; Especially Malaya.
Lunch leo Nimekaa na wanaume wanamsema mrembo flani, mwenye BAHATI ya kuvuta mashine za ukweli, $$$, you know.
Unfortunately bado jamii yetu inakandamiza mwanamke na kumFavour mwanaume. Bado watu wanaona ngono ni kwa ajili ya mwanaume. Mwanamke akutwe bikra lakini mwanaume haijalishi. Hatoulizwa!
Najua wanawake siku hizi wana uhuru kuliko zamani lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa hata zamani wadada walikuwa wanajipa good time tu.
Tatizo wadada sikuhizi hamna siri!
We kila kitu kuhadithia mashosti. Kila utakayetoka naye unaonyesha watu. Kila utakachopewa kila utakapopelekwa(i.e hotels) tutaona picha. Mmoja akianza kusifia game la alilochezewa na fulani na we umo kutaja kina fulani...
Sio tu unasababisha watu ambao bado hawaelewi uhuru wako wakuone vibaya na kukuita majina, Bali hata mwenyewe unakuwa tu mtu wa hovyo. Ukipewa hela unadunduliza ubadilishe smart phone ili tuone shem ni anaKuspoil/mtunzaji, hufikirii maisha baada ya huyo mtu.
Wengine mnapelekwa guest tu lakini tutaona picha ya dinner na breakfast za kizaramo. Mbona wenzenu wanapelekwa 4 stars wamekausha!!
JIFUNZENI USIRI.
Acha love/sex life yako iwe private. Utatuonyesha mumeo. Usihadithie mashosti,ndo wabaya wako hao. Ukipitia/Ukilala hotelini wakati unajua unaishi kwenu/hostel, au unajua unataka kuonekana mtu wa dini, achana na hiyo camera.
Hupungukiwi kitu. Zoea kusema Sina mtu esp. Nyie wadada wa chuo mlio na pressure za kushow off mabwana. Itawasaidia hata kuacha kutumia pesa hovyo.
***Nisije kuambiwa nahamasisha uasherati. Iko chini ya mtu Binafsi kushikilia viwango alivyojiwekea. Kama hayo maandiko hayako akilini mwa huyo dada, hamna utakachoweza kufanya kuzuia...
***you wanna be "that" good lady at 30? Don't get caught at 20.