Tunaanza 2016 hivi: Mambo Kumi yanayowaboa wanawake wawapo ulingoni

housegirl

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
3,125
2,191
Nimecopy na kupaste. Nashukuru aliyetengeneza list. Nimebadilisha kidogo, maneno Mengine yalikuwa makali....

1)Kumuingilia bila romance
Kosa kubwa sana kwani ili asikie raha na akupe manjonjo, lazima awe ameandaliwa kisaikolojia. La sivyo jiandae kumuona gogo kwani atakuwa na mawazo kibao na atakuwa mkavu.

2)Kumuuliza kama anasikia raha.
EBO! Mwanaume anayejua kazi yake anaweza kutambua kwa kusikia sauti na mihemo na kuelewa Kama mwenzake anaenjoy au anasubiri umalize aondoke. Acheni maswali kijinga. Fanya kazi.

3)Kumuuliza kama amekojoa.
HEH! yani hujui kama kafika!! Embu kuwa serious sio kusema hujui, kazi butu na bado una jeuri. Embu kuwa mpole, muulize jinsi ya kufanya, eh hata Google basi!!

4)Kumuuliza kakojoa bao ngapi.

Khaa!! We Unato...a tu hadi unamaliza hujui mwenzio vipi. Acha kuwa mbinafsi, jifunze kufanya kumridhisha mwenzio ama sivyo utapigiwa tu.

5)Kutaka denda usiku au asubuhi wakati domo lanuka.

Khaaa! Denda tamu lakini kwa mdomo safi sio hujapiga mswaki au umetoka kununa siku nzima afu unataka denda. Ndo mwanzo wa kususiwa tendo na kukwepesha sura.

6)Kunuka sehemu nyeti. (pumb.... Na makalio)
Mapenzi ni uchafu lakini harufu ya pu.mb.. na jasho hukera. Pu.mb... Ina harufu yake nzuri lakini jasho likivunda inaboa. Oga vizuri ufaidi.

7)Kutokujua kukiss.
Halafu unajifanya unajua!! mweee utatubana pumzi tuzimie na kutung'ata lips bureee. Jifunze!

8)Eti baada ya kumpaka shombo unamuuliza "baby umeEnjoy eeh". What!! Are you serious? NimeEnjoy vipi wakati hamna ulichofanya zaidi ya kunichafua. Tutaanza kuwapa za uso alaaa...

9)Kwa wale mnaojidai mnajua kuchezea K na vidole mnatuumiza jamani. Uwii. Kukatishana mood tu unapitisha vidole bila hata kujua direction khaa!! Jifunze umbo la K likoje na inashikwaje.

10) Kukoroma baada ya bao moja.
Sasa mnatuacha na genye zetu tuzipeleke wapi??
 
Last edited:
ila hili la kuuliza kama umekojoa linaboa jamani, na wale wanaojitia mafundi wa kusugua kisimi mmh hapana wengine majanga
 
Back
Top Bottom