Milale
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 494
- 189
Habar zenu wanajf,
Leo nilikuwa nachart na rafiki yangu mmoja aliyeko nje ya nchi,katika maongezi yetu akaniambia kuwa kapata mchumba Tz nikamwambia akanitajia jina nikalifananisha na la mpenzi wangu, ndipo nilipomwambia anitumie picha ili nimjue shemeji yangu rahaaulah kanitumia picha ya mpenz niliyekuwa nampenda sana na kuamin kuwa niko pekee yangu, Ikabidi nimdadisi jinsi alivyopata namba yake yeye akiwa nje ya nchi, akaniambia kuwa kuna group moja la whatsap ndo alipopat namba yake na kuanza kumtemea sumu kali.
Kijana mwenzenu hapa nahisi moyo kuchomoka kwa maumivu niliyonayo japo rafiki yangu huyo sijamueleza chochote kuhusiana na mpenzi wangu huyo.
Ushaur tafadhari nifanyeje?

Last edited by a moderator: