IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,050
- 5,646
Mimi kama mwanaume nimekutana na hii mara nyingi sana yani dada umempa lift kwenye gari baada ya salamu anauliza unafanyia wapi kazi ukimwambia nipo TRA anakuomba namba ya simu ukimwambia mi mjasiliamali anakaa kimya yani watu wa ajabu sana wale niwaulize lengo lenu kuu kuuliza kazi zetu ni nini? Au ndio friendship with benefits??