Ni swali gani ambalo hupendi kuulizwa?

Squidward

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,925
7,935
Mambo vp. eti ni swali gani ambalo hupendi kuulizwa? binafsi sipendi kuulizwa eti

1.Utaoa lini?
2.Kwa nini mliachana?
3.Unafanya nini?


nafungua mjadala rasmi karibuni
 
Mambo vp. eti ni swali gani ambalo hupendi kuulizwa? binafsi sipendi kuulizwa eti

1.Utaoa lini?
2.Kwa nini mliachana?
3.Unafanya nini?


nafungua mjadala rasmi karibuni
Heeeee! Kumbe ulishaachwa na hadi sasa hujaoa! lazima una matatizo wewe
 
Mimi na X wako nani hodari kitandani? yani mtu anakuuliza swali hili hata unashindwa umjibu nini ............
 
Umenipenda au umenitaman?

Unataka kunichezea tuu???


Maswali ya kijinga mno...! Unadhani takujibu usivyopenda wewe
 
uko wapi siku hizi ? sipendagi nikijibu nipo tu mtu anaona kama nimemdharau kumbe walaaaa
 
hauna mwingine kweli? sasa hapo unategemea nijibu vp jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom