Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba hovyo

Dec 29, 2015
18
41
Hi guys,

Happy new year,

I hope all of u r ok.

Nipo hapa ku apologise kwa maneno ambayo hamkupendezwa nayo ktk mrejesho wangu, I didn't mean to offend anyone, neshwa na wording ktk maandishi yangu so I do apologise.

Hata hivyo nimepata kujifunza kitu kutoka kwenu, kuwa kumbe raia wengi wana hali mbaya kiuchumi na kimaisha, why? Sababu sikutarajia kabisa watu wawe offended kwa kusikia neno gari, kenya airways, kufunga hesabu za kampuni etc, nilipovitaja niliamini ni vitu vya kawaida sana kwa wengi wetu, sikuona sababu ya mimi kuonekana najivuna kwa kuvitaja, unapokutana na rafiki yako ktk maongezi akataja jana alikula kuku kwake then wewe ukakasirika kusikia neno kuku, inaweza kuleta picha kuwa kuku kwako ni jambo kubwa So nikajiuliza swali nisingetaja ndege nikataja train/basi nisingeonekana najivuna, hali ya raia ni mbaya kwa kweli

Kuna mwana JF mmoja alidanganya wenzie humu kuwa alinifuata pm kwa kunitega na kuwa nilimueleza kwamba mimi ni Mhaya, kwamba nakaa Gongo la mboto, na kwamba nauza duka Kariakoo, hii imedhihirisha kwamba nilichokua naongea kwenye uzi ni cha kweli, wanaume wa aina hii unaweza kuwaitaje?

Ndio wasiokua na kazi kufikia hatua kutunga uongo ili ufurahishe watu, ni wazi huyo maisha ndio yamemchanganya kufikia hatua hiyo, ni wazi alitaka kuonekana hero, sasa kwa nn nguvu hizo za kudanganya usiwekeze kwenye kazi kama unayo, hatuwezi kujenga taifa hivi.Hakuna hata mmoja alienifuata pm niliemjibu chochote niliziangalia tu na kuachana nazo.

Mwisho;
Yeyote aliekwazika na maneno ya uzi ule, ikiwemo kutamka maneno ya classes za maisha na kadhalika basi that person should find a place in his/her heart to forgive me, however msimamo wangu kuhusu wanaume kuomba namba ovyo unabaki pale pale, nguvu hizo zitumieni kufanya kazi

2014 niliombwa na idara ya HR kum recommend staff mmoja wa kiume ambae alikua anamaliza probation, ili awe confirmed, niliwaandikia barua kuwa simuhitaji kabisa, ame perform below standard, hii ilitokana na jamaa huyo kushinda akitumia simu kuliko kufanya kazi, akifika asubuhi anaanza kupiga simu za wasichana wote aliowaomba namba jana yake, na wakati anaongea wenzie wote wanamsikia akiwemo supervisor wake, tena akijisifu kabisa kuwa jana kapata namba tano za wanawake aliambiwa na HR wakuu wako wamekukataa so we are sorry sikumuonea maana kazi zake zote tunazompa ni za kusukumana kwanza

Mimi si Mhaya kama mlivyodai, mama yangu ni mtusi na baba mrangi, jukwa nalolipenda zaidi ni lile la International, habari kama za Russia, Nato, Usa, military science etc, na nime coment huko sana.

Am not arrogant at all, nilivyozungumza ni vitu vya kawaida in my life, kwenda oversees kikazi nakwenda every time and then, kumiliki gari wote mnajua sasa hivi hapa dar ni basic need na sio luxury tena, na wengi mnamiliki, kufanya kwenye kampuni za maana huenda wengi tu mkawa mnafanya sasa sioni kwa nn mtu ukasirike ukivisikia hivi unless uwe kwenye opposite direction ya hivi nilivyotaja.

Tufanye kazi kwa bidii
Nawatakia heri ya mwaka mpya

Mercy
 
Binafsi nilichukulia uzi ule kama wa kuwa offend wanaume wote hasa wa humu JF regardless of who is who.

Sina chuki wala tatizo na mafanikio yako naamini kwa namna tofauti ni mafanikio ya Jamii kwa ujumla kwani usingekuwa hivyo ndugu jamaa na rafiki zako au hata jirani zako na jamii kwa ujumla ingeathirika pia. Apology accepted lets move on.

Japo msamaha wako una majigambo fulani ya kitutsi kuwa baada ya kusoma hapa ndiyo umegundua hali ni mbaya as if umekuja bongo through JF sio issue

By the way ume ni impress sana na comments zako kule jukwaa la kimataifa nondo zako bado zinahitajika kule
 
Last edited:
Bora ulivyokanusha mwenyewe kua sio mhaya. Hakuna mhaya mjinga sana kama wewe katika dunia hii.
 
Pamoja na elimu uliyonayo naomba kwa kifupi ujue kuwa umesoma lakin hujaelimika kabisa. Umeshindwa kujua hata nature ya jamii unayoishi sasa elimu yako inakusaidia nn? Gari imekuwa basic need kwa Dar??? Tanzania ina watu zaidi ya milion 50 na dar ina chini ya watu milion 5? Nenda tra waulize Tanzania kuna jumla ya magar mangapi na watanzania wapo wangapi na kuna watu wanazaid ya magari mia moja? Basic neeeeed!!!!! Big NO. Nadhan una shida ya malez na unadhan watanzania wote wapo kama ww (if what u say is true)

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Una miaka 46 unajistukia nini kutoa mamba ya simu?vile vile Kazi kama yako HR inatakiwa uwe social acha hizo !!
 
Ebu msameheni huyu dada, sababu anaonekana bado anaipenda jf, ingawa nseme tu kwamba hajajua bado jinsi ya kucheza na karata zinazo changwa hapa jf.
Kwa kumbukumbu zangu humu jf kuna watu walisha wahi kuharibu vibaya, na wapo walio harisha kabisaaaa tena ninawakumbuka kwa I'd zao aiseee.... lakini walicho kifanya ni kukaa kimya pamoja na kwamba waligundua wameharibu na upepo ulipita na maisha yaliendelea.
Nakushauri mleta uzi ungekaa kima tu aiseeee.... maana hii jf ni zaidi ya unavyo itasoma kwenye maandishi
 
Back
Top Bottom