Kwa nini binadamu tuna wivu?.

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
1,776
1,536
Wakuu salama.

Kama kichwa cha habari kinsvyosomeka hapo juu,nilikuwa nahitaji pata ufahamu juu ya wivu.

1.Chanzo cha wivu ni nini?.

2.Kwa nini watu wengi hasa wapenzi wanaoneana wivu?.

3.Kwa wale ambao hawana wivu au wenye wivu kidogo wafanyeje ili kuweza kuuongeza?

4.Kama mtu ana wivu sana anawezaje kuupunguza?.

5.Je kwa nini watu wengi wanaonekana kuwa na wivu hasa katika mapenzi mpaka kufikia kuuwana kuliko wivu wakutamani kuwa tajiri kama Bakharesa.

Note:
Wanaotokwa na jasho sana puani inasemekana wana wivu sana.
 
Back
Top Bottom