Hivi tumefikia hapa?

Hivi tumefikia hapa?

kampelewele

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2014
Posts
2,998
Reaction score
2,414
Tangu zamani ni wavulana ambao walikuwa wanaona sifa kuwa katembea na wasichana. Kwa kawaida wasichana walikuwa wasiri sana hata akikukubali basi atakudanganya kuwa alibakwa kubikiriwa na hajawahi kukutana na mwanaume tena wewe ni wa pili. Ila hili la huyu dada limenisitua....

"...Kufuatia ishu hiyo, gazeti hili lilimsaka Gigy ili afunguke juu ya tukio hilo ambapo alikiri kukutana na kulala na jamaa huyo hotelini hapo..." Hivi ndugu zangu imefikia wakati mtoto wa kike kutamka hadharani kuwa ame-do na fulani na akaona fahari? Nadhani U-Super Star hapa kwetu tunaweza kuufananisha na uchangu!

Endelea:

Gigy, msanii Tekno ukweli waanikwa
 
Zamani hakuiuwa na tabloids lakini siku hizi zipo..

Hakuna cha ajabu
 
Sasa cha ajabu ni kipi hapo kwani huyo gigy si sawa tu na wauza papuchi wengine sasa hiyo staha ataitoa wapi
 
Sasa cha ajabu ni kipi hapo kwani huyo gigy si sawa tu na wauza papuchi wengine sasa hiyo staha ataitoa wapi
Hata sisi wanaume siku hizi tunaficha tuliowatembelea. Kwa msichana aonekane anakanyagwa sana? au ndiyo huo uuzaji wenyewe anatafuta soko.
 
Hata sisi wanaume siku hizi tunaficha tuliowatembelea. Kwa msichana aonekane anakanyagwa sana? au ndiyo huo uuzaji wenyewe anatafuta soko.

Wanao uza ni wengi siku hizi na sio tu wale wanaokaa barabarani au kwenye mabaa hata majumbani mwetu,maofisini na hata kwingineko maana hata ukimtaka mshichana kama huna pesa huwezi mpata sasa si biashara hiyo
 
Bigirimana kweli
 
Staha na mambo ya siri siku hizi vimekuwa kituko na upuuzi mtupu
 
Mtoa mada utakuwa hupitagi MMU ungewaona watu wanavyofunguka....
 
Nadhani lile somo la kuangalia class yako linahusika hapa maana ukidoo na msichana ambae anakuona kama wallet iliyojaa pesa huku yeye akiwa hana hata address, ndio haya ya kutundikwa magazetini kisa anajiona kaokota pochi.
 
Sasa cha ajabu ni kipi hapo kwani huyo gigy si sawa tu na wauza papuchi wengine sasa hiyo staha ataitoa wapi
..... Yani ukiona mtu anautafuta umaarufu kwa nguvu zoote wakati hana shughuli yoyote inayoeleweka anayofanya basi huyo atakuwa ni malaya tu!! Over.
 
..... Yani ukiona mtu anautafuta umaarufu kwa nguvu zoote wakati hana shughuli yoyote inayoeleweka anayofanya basi huyo atakuwa ni malaya tu!! Over.

Mi nashangaa sana watu kuona maajabu ya gigy kujitangaza kapigwa miti na Huawei sijui Samsung ni kawaida maana ye anauza k*m* kitambo kwahiyo hiyo kwake ni fursa kwake kutangaza kama anauza hadi kwa watu maarufu
 
Back
Top Bottom