Ni mke wa mtu kila mara anazokuja kuonana na mimi hunambia mumewe anawivu sana tena sana ni vigumu kunipa namba yake ya simu juzi amenunuliwa line nyengine na mumewe atumie ile ya zaman imekatwa katwa.
Macho yake yanasema kwamba ananipenda huashiria mapenz (sex eyes) ata akiwa na safari gani hunambia nimepita hapa nikuone na kukusalimia tu nimejiiba kwa mume wangu, pia ameendelea kusisitiza yaani kila nikija huku usjali lazima ntakuja kuonana na wewe.
Pale akija hutamani nimtokee direct kwamba nampenda ili nithibitishe ninachokifikiria moyoni lakini bado nasita sita mda mwengine husema labda anapenda kunisalimia tu mda mwengine hujiambi no lazima atakuwa ananipenda sana. wakati mwengine hujiuliza kwanini bila kumuliza husema mumewe ana wivu sana tena sana na amejiiba kuja kuonana na mimi? ukweli mimi nishampenda ingawa i am not a big fun wa kuchukua wake za watu.
Naelewa ukumbi huu kuna wataalamu wa fani hizi mtanisaidia na kunishauri vya kutosha sana.
Naomba kutanguliza shukurani.