Wanawake kwa Wanaume

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
67,252
168,551
Za mliko?? Mimi sina mengi zaidi ya kuuliza Swali moja tu. Hivi wanawake au mabinti walioko kwenye ndoa au wanaofaa kuolewa wana sifa gani hasa?? Mana mhmmhhmmhhmmhhmmhmhhmhhhhmmhhhmmmmmhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mtu anataka kuoa masharti mganga akasome yani masharti miaaaaaa hakuna hiki hakuna kile kule sijui mavazi sijui nywele kucha rangi nyokko nyokko nyiiiiingiii Khah!!!
Wanawake wa vimini suruali pensi mibato kucha ndefu kupaka rangi kuchoma nywele and the alike eti huwa hawaolewi?? kaushi eti kama Arnold Schwarzenegger heh unaulizwa pambano wapi??? Uvae hivi unaulizwa kuna fasheni shoo??
Limtu lenyewe lihandsome kshenzi Halafu lina chapaa sasa tatizo old model mpaka aibu mambo yakizamaniiiiiii ila linafocus aisee habari za starehe za kijinga jinga sijui out hakunaaa Unataka soda wine chips kuku mazagazaga yeyote sema yataletwa sijui out sahau all in all ni a man of vision afu sio kicheche but hizo shurti Mhmhmhmmhmhmh! Sometimes ndoa ni kama utumwa flani kwakweli.
 
Last edited by a moderator:
Uandishi wako ni dhahiri uko under 20 maana hakuna ulichaondika nadhani na ww ni wale wasichana wa kuandika vifupisho kwenye txts mpaka mtu akisoma lazima atumie shortformcyclopedia eg enx for thanx karudi tena ujifunze kuandika vitu vinavieleweka halafu urudi
 
mahondaw
Tuliza munkari kidogo basi,

Unapotaka kuolewa au kuwa kwenye mahusiano lazima kuna vile huyo bwna anapenda uwe, kuna vitu atakuwa havitaki kwako mfano mzuri katika mavazi, nywele kucha. Kwa hiyo ukipenda boga penda na mti wake lazima upende pia vile yeye anavyotaka uwe.

Hata wewe kuna mambo huyapend kutoka kwake mfano kama hapo ulipo andika your man is old model...hupend na unataman abadilike.

Kama mnapendana kwa dhat na huyo mchumba, ikiwa yeye hapendi uvae kimin kwann uvae? Eeeh

Mahusiano ni masikilizano, kaeni zungumzeni mtaelewana,

Kujishusha pia ni muhimu ili mambo yaende...
 
Za mliko?? Mimi sina mengi zaidi ya kuuliza Swali moja tu. Hivi wanawake au mabinti walioko kwenye ndoa au wanaofaa kuolewa wana sifa gani hasa?? Mana mhmmhhmmhhmmhhmmhmhhmhhhhmmhhhmmmmmhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mtu anataka kuoa masharti mganga akasome yani masharti miaaaaaa hakuna hiki hakuna kile kule sijui mavazi sijui nywele kucha rangi nyokko nyokko nyiiiiingiii Khah!!!
Wanawake wa vimini suruali pensi mibato kucha ndefu kupaka rangi kuchoma nywele and the alike eti huwa hawaolewi?? kaushi eti kama Arnold Schwarzenegger heh unaulizwa pambano wapi??? Uvae hivi unaulizwa kuna fasheni shoo??
Limtu lenyewe lihandsome kshenzi Halafu lina chapaa sasa tatizo old model mpaka aibu mambo yakizamaniiiiiii ila linafocus aisee habari za starehe za kijinga jinga sijui out hakunaaa Unataka soda wine chips kuku mazagazaga yeyote sema yataletwa sijui out sahau all in all ni a man of vision afu sio kicheche but hizo shurti Mhmhmhmmhmhmh! Sometimes ndoa ni kama utumwa flani kwakweli.
Usistaduu na ndoa wapi na wapi? Kama ni ndoa unaitaka itabidi ukubali masharti. Wanawake wenzio wanaiota hiyo nafasi wewe ichezee uone.
 
mahondaw
Tuliza munkari kidogo basi,

Unapotaka kuolewa au kuwa kwenye mahusiano lazima kuna vile huyo bwna anapenda uwe, kuna vitu atakuwa havitaki kwako mfano mzuri katika mavazi, nywele kucha. Kwa hiyo ukipenda boga penda na mti wake lazima upende pia vile yeye anavyotaka uwe.

Hata wewe kuna mambo huyapend kutoka kwake mfano kama hapo ulipo andika your man is old model...hupend na unataman abadilike.

Kama mnapendana kwa dhat na huyo mchumba, ikiwa yeye hapendi uvae kimin kwann uvae? Eeeh

Mahusiano ni masikilizano, kaeni zungumzeni mtaelewana,

Kujishusha pia ni muhimu ili mambo yaende...
Aisee ni shida tu
 
Back
Top Bottom