Nilazima upande kabla ya haujavuna

Nilazima upande kabla ya haujavuna

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,231
NI LAZIMA UPANDE KABLA HAUJAVUNA

Ni lazima upande mbegu kabla ya kuvuna mazao.Unavyopanda mbegu nyingi zaidi ndivyo unavyovuna mazao mengi zaidi. Ukipanda mbegu kiganja kimoja, utavuna gunia moja, ukipanda bakuli moja utavuna magunia kumi.

Mara zote unavuna zaidi ya unachopanda.Usihukumu kila siku kwa mavuno unayopata, bali hukumu kwa mbegu unazopanda.

Je, wewe unapanda mbegu gani?
 
Back
Top Bottom