Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
Mwanamke asipokua makini anaweza kujikuta unatumiwa na wanaume hata 100.
Mwanaume kaumbwa kushawishi. Ni jambo la kawaida kwa mwanaume kutongoza na kuwa hata na wanawake 10. Hata ukitizama wanyama mfano kuku jogoo ndio ana mshawishi mpaka ana mkimbiza. Akimpata anampanda ndivo ilivyo hata kwa mwanaume.
Kwaiyo mwanamke ni wewe kuweza kuepuka vishawishi na kuwa makini. na sio kulalamika kuwa wanaume ni viumbe ovyo. Ndio waneumbwa hivo.
Ana kushawishi alafu anapata analotaka. Siku hizi imekua kawaida kwa wanawake kupewa ujauzito na kukimbiwa kumbe alishawishiwa na mwanaume asiempenda. Atalalamika na kusema hataki tena mahusiano na kuchukia wanaume.
Ni jambo la kawaida kwa mwanaume kutongoza. Na siku hizi utasikia alikua na mimi anaoa mwingine. Huyo mwanaume hakukupenda. Usipokua makini utateswa sana na mapenzi.
Mwombe Mungu akupe mtu sahihi.
Kuna kaswali huwa wanawake wengi hawakapendi. Umeshawahi kulala na wanaume wangapi kabla yangu. Wengi watajaza cv hata counter book.