Kizaizai

The_Analyst

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
241
86
Verse 1}
Yanaanza kama safari twende folani ukaone,
Kumbe yana nguvu ni hatari ukishanasa ndio uponie..x2
Mungu aliumba dunia na Maajabu yaake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2


{Chorous} x2
Nyie Mapenzi yanauma (Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Oooh kizunguzungu jamaa mapenzi mabaya
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kizaizai)
Nyie Mapenzi karaha (Kizaizai)

{Verse 2}
Yananyima furaha....
Yanakosesha raha....x2
mmmmm
Tena usiombe kupenda uliempenda ajuee
Tena usiombe kupenda uliempenda ajue
Amani utakosa Karaha jamani eeeh..
Dunia tena chungu kufa utatamani eeh..
Mungu aliumba dunia na Maajabu yake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2

{Chorous}
Nyie Mapenzi yanauma (Kizaizai)
Yanaumiza (Kizaizai)
Oooh kizunguzungu jamaa mapenzi mabaya
Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)
Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)
Kazi ukaona chungu (Kizaizai)
Nyie Mapenzi karaha (Kizaiza
Baba na mama watake
Chakula tamu ni sumu
Mashoga sasa wanafiki
Kulala nanyi ni ngumu
eeh yanauma tena yanauma


Diamond Platnumz - Kizaizai Lyrics
 
DAI ni noma. Ule wimbo wa ukilala lala salama. Nakua mpole sana akiimba Niliupokea kwa unyoge msiba wa kaka yona.
ile barua yako ya mwisho ilinitonesha kidonda.
usinifikirie vibaya kipenzi changu ukizani nimekumbwa na pepo la starehe, mambo bado magumu kwangu afadhali ya jana ya leo niombee.
 
Kume pambazuka asubuhi na mapema
najitoa shuka nahisi tunazozana
kumbe moyo na nafsi vina kwazana
Na sitaki moyo kupenda tena
Mwili umekufa ganzi maumivu mwili mzima
Moyo unauliza nafsi kumbuka yale ya nyuma
Niliteseka na penzi langu..Mama mamaaaaaa
masikini moyo wangu mimi.....


Sasa nimpe nani..Anayejua thamani
anayejua mm ni nani..wengine nisitamani x2
 
Mimi "ukimwona" ndo nachoka hasa anaposema

"ubaya kinachoniumiza maneno neno neno hasa kwa ndugu rafiki kwa nini anawapa misemo"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom