Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake wafuatao hawanivutii kabisa mwaka huu wa 2016: 1. Wenye vitambi 2. Wenye matumbo yaliyojitokeza pembeni kama chura amebanwa na mlango 3. Wenye matako flat cha ajabu ni lepelepe 4...
5 Reactions
185 Replies
23K Views
Naombeni ushauri wenu, Ninamchumba pindi niko na job nilimwambia anipeleke kwao alikataa na kunijibu kwamba ni mapema kwa bahati mbaya nimeacha kazi ananiambia hawezi kunipeleka kwao hadi niwe na...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa, Mimi ni binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 na mwaka 2010 wakati niko kwenye maandalizi ya ndoa na aliyekuwa mchumba wangu tuliambiwa tukapime, na ndipo nilikutwa...
1 Reactions
99 Replies
23K Views
Habar zenu wanaJF, Hapa nilipo mwenzenu namawazo kedekede moja wala kumi na mbili haikai.Mpenzi wangu tuliependana kwa dhati mahusiano yetu yapata miezi 8,tukiishi pamoja kwa furaha japokuwa...
2 Reactions
63 Replies
12K Views
Salaam, Kabla ya yote, mfano wa simba kuua cubs (watoto wa simba jike) haumaanishi na wewe uue watoto uliomkuta nao huyo mwanamke. Maana yake ni kwamba kuna approach tofauti kuhusu swala hilo kwa...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari zenu wadau, Baada ya kuwa na stress zilizotokana na kutemana na binti ambaye nilimpenda kwa kiasi flani hivi, nikaamua kumtafuta huyo binti ili kupunguza stress na binti hiyana analala na...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
MIAKA KUMI IJAYO NI MICHACHE SANA UTAJIVUNIA NINI? Miaka kumi ijayo hutajivunia ni kwa haraka kiasi gani ulikuwa unajibu jumbe za simu unazotumiwa, au kupokea kila simu iliyokuwa inapigwa. Miaka...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Tatizo kubwa duniani linalofanya wengi tushindwe kufanikisha malengo ni kukwepana na fursa, sio kwamba hazipo. Unakuta wewe ukipita njia hii fursa imepita njia nyingine. Sasa kwa mfano hawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
There is this young lady, my wife's younger sister whom we have raised since her high level education, last year she concluded her university education For sometimes now amekua aki go out na...
3 Reactions
57 Replies
6K Views
Habari wanajamvi? Nimetafakari sana haya mapenzi ya kileo tofauti na baba zetu walikuwa wanafanyia kitandani ila mapenzi ya leo yanafanyikia sehemu mbalimbali. Wengine juu ya kochi, juu ya meza...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Ni hivi: Nimekuwa na matatizo binafsi yanayonisumbua. Sasa mchumba wangu kanishawishi anipeleke kwa mganga (ustaadh) kwamba ana uhakika pale ndo utakuwa mwisho wa matatizo yangu. Huyo mganga...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Usipende kuchonganisha watu ili wewe ubaki kuonekana mzuri kwa pande zote mbili, maneno ya huku wapeleka huku na ya huku wapeleka huku... This is 2016 jaribu kutumia muda mwingi kufanya...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Bila shaka mko vema na mwaendelea vema na majukumu yenu ya hapa na pale. Kwa wagonjwa ama mafadhaiko mbalimbali tunawaombea hali zirudi kua sawa.... Nisiandike mengi sana ya kuwachosha niende...
6 Reactions
58 Replies
8K Views
Si vibaya kwa binti kumgusa gusa bwana wake wawapo kwenye Private ndinga (Gari binafsi). Ni jambo lisilozuilika, lakini lisipofanywa kwa tahadhari, laweza kuwa chanzo cha ajali. Unakuta Gari iko...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Za sahizi wadau wenzangu, Moja kwa moja niende kwenye maada husika nitazungumzia maeneo mengine tofauti na bedroom unayoweza ku enjoy sex na kufanya msibore. 1. Jikoni (kitchen counter): Hapa...
6 Reactions
183 Replies
42K Views
Natafuta rafiki wa kike awe kati ya miaka 20-25
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani imekomaa hii tabia mdada unakatiza mtaa wa pili na watatu ndani una kipichu tu na umechomekea dera/dira tunatoa fundisho gani kwa jamii hata kama joto sio ustaarabu.Badilikeni.
3 Reactions
54 Replies
17K Views
KABLA HUJAFUNGUA MDOMO WAKO , SHIRIKISHA AKILI YAKO Kabla hujafungua mdomo wako, kwanza shirikisha akili yako. Kufungua mdomo kabla ya kushirikisha akili ni chanzo kikubwa cha matatizo yako na...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wana jf wenzangu wakibwa na wasalim agemate mambo vipi, leo nimeona nilete uzi mwingine huku! Mimi nauliza je hawa wanaotafuta wachumba, wapenzi, madem pamoja na marafiki hivi mnawapata...
1 Reactions
6 Replies
908 Views
Marafiki ni watu wazuri sana ila ni watu wabaya sana ukikosea katika kuwachagua maana unawezajuta maisha yako yote.Mwanamke mwenzangu ulieolewa sio kila mwanamke ni wa kuwa nae rafiki hasa baada...
4 Reactions
38 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…