kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,916
- 7,164
Habarini wadau,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekuwa na mpenzi wangu kwa mahusiano ya kimapenzi kwa muda wa miaka miwili sasa, ila tatizo lake ni pale tunapokuwa tunakutana kimwili huwa anaonesha anapata hisia ila hafiki kileleni hata kama nitafanya kwa muda mrefu kiasi gani ila nikimaliza ananisukuma pembeni anajikunyata hadi anafika kileleni akiwa peke yake.
Sasa sielewi kama ni hali ya kawaida au kuna tatizo hapo, ila muda wote wa tendo anakua yupo wet.
Karibuni kwa ushauri/maoni.