Mchumaba wa kike anahitajika (mlokole)

tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
3,653
7,927
Wasalam!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, umri 18-25
Kwa maelezo zaidi pm
 
Akiwa mlokole akipewa mimba na mchungaji usije kuomba ushauri humu. NB:Ulokole pekee sio sifa ya uchumba.
 
eeeh hadi walokole nao wanatafuta wachumba mtandaoni DUH ! inaamana kanisani kote huko hakuna
au unatumia tu GIA ya ulokole !!
Hakuna sehemu maalumu ya kupatia mchumba, soma mwanzo hadi ufunuo utaelewa, pia hamna criteria zozote zilizowekwa kea ajili ya kumjua mtarajiwa wako
 
Hakuna sehemu maalumu ya kupatia mchumba, soma mwanzo hadi ufunuo utaelewa, pia hamna criteria zozote zilizowekwa kea ajili ya kumjua mtarajiwa wako
ni sawa sasa sema natafuta mchumba usiweke kigezo awe mlokole mke mwema anatoka kokote tu anaweza kuwa muislam ukambadili dini akawa mkrsto au wewe ukabadili ukaufata uislam hii inategemea kiasi gan mmevutiana

ila kila heri naimana utapata
MWENYEZI MUNGU AKUONGOZE
 
Uko sahihi mkuu, lakini pia ni vizuri ukaweka vigezo vyako binafsi ili usipate shida sana kuendana na huyo utakaekutana nae. Kuoana ni makubaliano (negotiations) kwahiyo mkishaafikiana ndo hatua zingine zinafata
 
Kaka smhn kwa nn unaitwa tamu sana!
 
Sawa kaka,vijana wengi tunasema hatuwezi kukubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia,ati wengine wanadiriki kusema mgodi lazima ukaguliwe ndipo tusaini mkataba,msimamo wako ukoje kaka?
Mwenye imani ataishi kwa imani, ni vizuri ukafuata kile unachokiamini kuliko kusikiliza ya wanadamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom