mkeo anafanya kazi kampuni fulani,kuna jamaa mnaishi naye jirani inasemekana alishawahi kuwa na mahusiano na mkeo kabla hujamwoa,na huyo jamaa anamiliki usafiri na shughuli zake za kila siku...
Anapenda kufanya majukumu ambayo kimsingi anatakiwa kufanya binti yake.
Anapenda sana kuwa karibu na mimi pale binti yake akiwa hayupo.
Tukiwa pamoja anapenda niweke mikanda ya picha za " x "...
Habarini wadau,
Hili linatokea mara ya pili baada ya ile ya kwanza kukuta kaisave namba ya huyo mpenzi wake wa zamani kwenye namba yake mpya ya simu baada ya kuiacha ile ya zamani nikiuliza...
Wizi mbaya jamani,
Hi ni habari ya siku nyingi ila kwa vijana wapya (under 21) huwezi ijua, imetokea kati ya mwaka 2004 na 2005. Ilikuwa inarushwa katika kipindi cha mambo mseto cha RTD sasa...
Nimewahi sikia baadhi ya wanaume wanaposafiri kwa muda mrefu kidogo wake zao huwawekea condom kwenye mabegi ikitokea akashindwa kuvumilia atumie zana, je inaweza kuwa kinyume chake kwa mwanaume...
Specifications;
Miaka 27 nachini yahapo, awe nakazi serikalini (yoyote), mrefu na mweupe au maji yakunde mimi nafanya kazi serikali nanimwaminifu.
Mdada mwenye sifa hizo nayuko serious nandoa...
Mimi ni kijana aged 33 natafuta Mwanamke asiye na mume aged 37-40 asiwetegemezi tusikatishane tamaa mpaka nikaamua hivi nimejifunza mengi nipo Mwanza kwa Wanawake waliosonga umri. Karibuni sana.
Namtafuta Mchumba wa like Mwenye umri kati ya 25 na 35. Awe na Elimu ya chuo kikuu kuanzia shahada 1- 3.Awe ameajiriwa au amejiari. Awe anaweza kunilea vema na kunijali
Mimi na shahada ya PHD na...
"Naregret sana kukuoa, kwanza sikuwahi kukupenda nilikosea tu njia, mi nilikuwa nampenda yule dada mfanyakazi mwenzangu ila sijui hata nilitokana wapi na wewe usie na mbele wala nyuma hadi...
Nimekuwa nikiona watoto wakike wakiwa wametoboa masikio kwa ajili ya urembo, swali ninalouliza ni Je, ni umri gani unafaa kuanza kumtoboa mtoto masikio?
Na je kuna umuhimu wowote ule wa kufanya...
Greetings All..!
Kwetu tumezaliwa watoto 6 wa kiume! Wote wameoa isipokuwa mimi. Hapa namaanisha hata wadogo zangu wameoa.
Ishu ni kwamba kati ya wote kuna waliooa umri sawa, umri unakaribiana...
Mambo vipi watanganyika wenzangu?ebana kuna haka katabia kamekua kwa kasi hasa maeneo ya mijini,kwa mfano kama mwanaume umeongozana barabaran na mpenzi wako,basi huyo mpenzi wako atajishebedua kwa...
Tarehe kama ya leo 2012 naikumbuka baada ya binti Roda mtoto toka Mbeya kuamua kuniweka wazi jambo hili wazi. Ilikuwa ni kama bahati kwangu baada ya kumtongoza kwa muda mrefu na kufanikiwa...
Habari zenu,
Hivi kwanini wanaume ambao hawanywi au hawatumii pombe husakamwa kua ni walevi wa wanawake?
Nini kinawafanya watu wawafikirie vile au ni kuwaonea wivu kua hawanywi wanaokunywa...
Amekuomba urafiki facebook.
Umeangalia picha zake
Anaendesha Range
Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo
Umemkubalia urafiki
Amekutumia text inbox
Umemjibu
Amekuomba out
Mkapanga kuonana
Ukajikwatua...
Wengi wanaoomba mahusiano ni wanaume. Si tatizo kwani hata katika dunia halisi hali ni hivyo. Mwanamke anapoomba mahusiano hupata mafuriko ya maombi. Ni tofauti na mwanaume anapoomba/hitaji...
1) Mwanamke anavuta shisha au sigara: unamkuta most of the time yupo kwenye vile vijiwe vyao vya kuvuta halafu wahuni kibao wamejaa mule, sometime hata drugs wanachanganya mule kwenye kile kibobo...
Hii mada haiwahusu wanawake walioolewa na wanaume wenye miili ya 'kunenepa kwa ndani' yaani wale hata umlishe na mirija utachemsha tu, mwili hautokezi ng'oooo!!
Pia haiwahusu wale ambao wako...
Blood, sweat and tears: Poignant pictures capture women during childbirth and the first joyous moments of bonding with their newborn babies
Photographer Leilani Rogers started the Public...