Je, Ni sawa kwa mpenzi wangu kufuatilia nyendo za mpenzi wake wa zamani?

thebusdriverclassc

Senior Member
Jan 16, 2014
146
66
Habarini wadau,

Hili linatokea mara ya pili baada ya ile ya kwanza kukuta kaisave namba ya huyo mpenzi wake wa zamani kwenye namba yake mpya ya simu baada ya kuiacha ile ya zamani nikiuliza naambiwa nimesave tu kutaka kujua jamaa anaendeleaje kupitia whatsapp profile yake, je wadau hii ni sawa?

Karibuni kwa michango wadau wale wa kucomment pumba mnakaribishwa pia.
 
Mbaya zaidi kila nikishtukia uwepo wa hiyo namba kwa simu yake,anabadilisha jina alilosave nalo.....nawaza nimwambie aache huo ujinga au nimpotezee tuu
 
Wakati unakutana naye bikira si ilikuwa imeshatolewa? Kama jibu ni ndiyo huyo ni mpenzi wa mtu.

Ukiamua kuwa naye vumilia yote.
 
Itakuwa mbuzi alifia kwa muuza supu maana kama angelifia buchan watu wangekuwa ameshauza mpaka ngozi.
 
Huku kufuatilia profile pic za jamaa Whatsap ndo kunanishangaza afu kubadili jina analokuwa amemsave nalo kila wakati...
 
Huku kufuatilia profile pic za jamaa Whatsap ndo kunanishangaza afu kubadili jina analokuwa amemsave nalo kila wakati...
Hiyo ni picha kama huelewi.... Kwanzaa bikira uliyotoa ni natural au artificial za siku hizi siunajua nasie wajanja eeh.....ila kiukweli Utakua unamegewa tu
 
Mkuu hamna mwanamke hapo, huyo unamegewa bila hata shaka.
Sasa jambo la kufanya, anzisha uhusiano mwingne punguza ukaribu naye kuwa busy na huo uhusiano utakaoanzisha. Maana ni mbwaimbwai
 
Back
Top Bottom