ANKOJEI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 995
- 749
Wizi mbaya jamani,
Hi ni habari ya siku nyingi ila kwa vijana wapya (under 21) huwezi ijua, imetokea kati ya mwaka 2004 na 2005. Ilikuwa inarushwa katika kipindi cha mambo mseto cha RTD sasa TBC2.
Owk story, ni ndefu ila ni kwamba mwenye mke alikuwa anakaa Zambia huko, wakati kaacha mke Sumbawanga. Jirani yake akawa anapeana vitu na mke wake, hata baada ya jamaa kupandisha bendera na kutoa onyo ya kwamba yeyote atakayevunja amri ya 6 na my lovedavi atapata mateso makali. Bado mwizi huyu aliendelea kuvunja amri ya 6 na ya 7 kwa maarifa ya hali ya juu.
Sasa baada ya huyu Mzambia kuweka mtego, Jamaa alisimamisha uume siku 40+. Wazee walitumwa Zambia kumbeleza mweka mtego lakini akagoma.
Sasa kukawa na story za chini chini kwamba huyu mzambia anataka mwizi wake achague kati ya haya matatu hapa lasivyo atakufa kifo kibaya zaidi.
1. Kuhama na kuwa hai lakini hanisi
2. Kuendelea kukaa hapo hapo lakini bendera inaendelea kusimama mpaka kifo
3. Mzambia apewe mkewe wake na huyu mwizi naye aenjoy na jamaa awe hanisi na asihame.
Mpaka kipindi hicho sikusikitika tena habari hii ikirushwa tena RTD.
Swali je wewe ungechagua kipi 1, 2, au 3