Natafuta mke

KAMANDAMSHELI

Member
Jan 21, 2015
12
0
Specifications;

Miaka 27 nachini yahapo, awe nakazi serikalini (yoyote), mrefu na mweupe au maji yakunde mimi nafanya kazi serikali nanimwaminifu.

Mdada mwenye sifa hizo nayuko serious nandoa ani pm, niko serious nataka kuoa!
 
Mmmhh ... Hiyo hata demu wa ku date nae hatafutwi hivyo.. Hebu andika kama msomi.. Utajikosesha mke bure kwa uandishi wako
 
Kha!kha!khaaaa!asanteni kwamaombi nachangamoto pia.....kama yupo asisite ndoa fasta kama tutakubaliana.
 
Specifications;miaka 27 nachini yahapo,awe nakazi serikalini(yoyote),mrefu namweupe au maji yakunde....mm nafanya kazi serikali nanimwaminifu,,mdada mwenye sifa hizo nayuko serious nandoa ani pm....niko serious nataka kuoa!!!!
mke mwema Anatoka JF
 
Duh! Kwa maandiko haya mke bora huwezi pata, kwani atagundua kuna walakin kwako, lakini kwa kilaza waweza pata mana hata gundua lolote kwako, anyway kila la heri mkuu. Kadokezo tu, nliwah tafuta hum jf mke, yani nliishia kupata mademu tu na siyo wake na mengine mengi tu, ukitaka kujua ntaku Pm
 
Specifications;miaka 27 nachini yahapo,awe nakazi serikalini(yoyote),mrefu namweupe au maji yakunde....mm nafanya kazi serikali nanimwaminifu,,mdada mwenye sifa hizo nayuko serious nandoa ani pm....niko serious nataka kuoa!!!!

Safari za nje + plus watu unaowaudumia + ukienda kula kwenye migahawa + wanawake wa marafiki zako = Mke unayemtaka

Bado tu unatafuta na uku au NINA MASHAKA KATIKA KUONGEA NA WANAWAKE APA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom