Mchumba wa kike anatafutwa

mbongokazi

Senior Member
Dec 31, 2015
110
23
Namtafuta Mchumba wa like Mwenye umri kati ya 25 na 35. Awe na Elimu ya chuo kikuu kuanzia shahada 1- 3.Awe ameajiriwa au amejiari. Awe anaweza kunilea vema na kunijali
Mimi na shahada ya PHD na miaka 36.

Tafadhali no Pm kwa maelezo zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh...
Unatafuta digree au mke?
Mke nayeye atapenda phd tuuu...

Anyway, kila la kheriii
 
Namtafuta Mchumba wa like Mwenye umri kati ya 25 na 35. Awe na Elimu ya chuo kikuu kuanzia shahada 1- 3.Awe ameajiriwa au amejiari. Awe anaweza kunilea vema na kunijali
Mimi na shahada ya PHD na miaka 36.

Tafadhali no Pm kwa maelezo zaidi.

Mkuu PM zikizidi zifowadi kwangu tafadhali.....hehe
 
Namtafuta Mchumba wa like Mwenye umri kati ya 25 na 35. Awe na Elimu ya chuo kikuu kuanzia shahada 1- 3.Awe ameajiriwa au amejiari. Awe anaweza kunilea vema na kunijali
Mimi na shahada ya PHD na miaka 36.

Tafadhali no Pm kwa maelezo zaidi.

Hi,naomba uniPM your number,plz
 
Namtafuta Mchumba wa like Mwenye umri kati ya 25 na 35. Awe na Elimu ya chuo kikuu kuanzia shahada 1- 3.Awe ameajiriwa au amejiari. Awe anaweza kunilea vema na kunijali
Mimi na shahada ya PHD na miaka 36.

Tafadhali no Pm kwa maelezo zaidi.
Sijaelewa sentence ya mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom