GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Anapenda kufanya majukumu ambayo kimsingi anatakiwa kufanya binti yake.
Nitawashukuruni kwa majibu yenu!
- Anapenda sana kuwa karibu na mimi pale binti yake akiwa hayupo.
- Tukiwa pamoja anapenda niweke mikanda ya picha za " x " au za kimahaba zaidi.
- Tunapokuwa tunakula chakula hata binti yake akiwepo anapenda mno kunikonyeza.
- Hung'ang'ania kufua nguo zangu.
- Hupenda kunipigia simu mara kwa mara kuliko hata anavyompigia binti yake.
- Muda mwingine hata nikianika mkufuli wangu nje kambani yeye hupenda kunianulia.
- Kila nikiwa natizama TV usiku hasa habari hujipitisha mbele yangu na khanga kwenda kuoga.
- Hupenda mno kuniwekea maziwa ya mtindi, karanga mbichi na maparachichi.
- Hupenda mno kuingia chumbani kwetu bila hata kupiga hodi huku akiwa anatabasamu.
- Leo kaniomba nitoke nae kwenda Marseille na turudi hapa Paris usiku.
Nitawashukuruni kwa majibu yenu!