TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
mkeo anafanya kazi kampuni fulani,kuna jamaa mnaishi naye jirani inasemekana alishawahi kuwa na mahusiano na mkeo kabla hujamwoa,na huyo jamaa anamiliki usafiri na shughuli zake za kila siku anafanyia mjini jirani na mkeo anakofanyia kazi.utamruhusu kuchukua lift ili kusevu gharama za usafiri za kila siku?'sometimes ikiwemo na we mwenyewe kwani nawe shughuli zako ni uelekeo huohuo'utapanda gari ya huyo jamaa?