Niseme tu ukweli kuna dada mmoja ambae ni mlokole aliyetukuka nakaa nae jirani na ni mzuri hadi nahisi wakati mwenyezi Mungu anamuumba alikuwa katika ubora wake, ila napata tatizo na naingiwa na...
Ilikuwa mwaka 2009 miaka 7 iliyopita kipindi hicho nikiwa naishi kwenye jiji letu la raha Dar town, nilikuwa na jamaa yangu ambaye tulipata kufahamiana vzr na kuunda urafiki wa kiaina kwa sababu...
Somo: Baadhi ya kauli unazopaswa kuziepuka unapokuwa umeumizwa na kujeruhiwa moyo wako.
1. Usiseme, "sitaoa/kuolewa tena " maana katika maisha ndoa inayo nafasi yake kukusaidia kutimiza ndoto za...
Jana baada ya kutoka kazini, nilikuta ugomvi kwa jirani yangu ambaye alikuwa ameenda likizo na mkewe sasa wakati wanataka kurudi kazini ikabidi wapiti kwao mwanamke kuwasalimia, sasa zogozogo...
Sio mke wangu bado ni ule uchumba wa mwanzo tu. Naombeni mawazo yenu nimchukulie zawadi gani mpenzi wangu huyu ili kuonyesha kumjali kwa siku muhimu kama hii. Bajeti yangu ni sh 30,000/=
Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na jopo la wataalamu wa ladha na utamu wa tunda la kati.
Umebainisha kuwa hakuna shoti kati katika kumbakisha mywife wako zaidi ya kujituma kwenye kazi ili...
Huyu dada aka Maznat ni mwana dada anaejishugulisha na maswala ya urembo nilimsikia last week channel ten aisee she is smart, bright, cute kuanzia ndani hadi (akili ) nje ana moyo wa ukarimu...
Wanaume (married or unmarried) ndo tunaongoza zaidi kwa kuchepuka na kugegeda nje, kuliko wanawake.
Ila tunapogundua kuwa wake zetu nao kumbe wanagawa nje, tunakuwa mbogo sana na kuzua timbwili...
Sio mke wangu bado ni ule uchumba wa mwanzo tu. Naombeni mawazo yenu nimchukulie zawadi gani mpenzi wangu huyu ili kuonyesha kumjali kwa siku muhimu kama hii. Bajeti yangu ni sh 30,000/=
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wapole,ni sababu zipi zinawafanya kuingia katika mahusiano na wanaume wapole ?
Karibuni
Habari wana bodi,
Ni miaka mingi imepita tukiwa kwenye mahusiano lakini tulikuja potezana 2012-2013.Jana nikiwa katika mihangaiko yangu ya kila siku(nimejiajili) alikuja Mteja oficen kwangu...
95% ya wake za watu wenye smart phone wanachepuka.Tangu lini mke wa mtu akawa na smart phone? Hizi ndo zinatumika kuleta usaliti mkubwa kwenye ndoa.Unakuta mke wa mtu yupo busy na mitandao, halafu...
Hili jambo nimeliona mara nyingi katika mahusiano na hata katika urafiki wa kawaida wa mwanamke na mwanaume.
Ni leo tu asubuhi 'mtu wangu' amenitext kuniomba nifunge, kwa wale wakristo wanaelewa...
Kama penzi ni pepo aliyesema hakuzua,
Penzi kweli likiwepo maisha huwa muruwa,
Wawili wapendanapo dunia huwa maua,
Popote ulipo wewe moyoni sitakubagua ....
Ctrl+c = Ctr+v
Nimejaribu kufanya takwimu ya watoto wa kike wanaoolewa kutoka shule mathalani Kilakala, Tabora girls, Loleza and the like comparing na shule kama Marian, Kifungilo, Mazinde juu and the like na...
WATOTO WANAJUA KILE KILICHO BORA
Watoto wanajua sana, pengine vizuri zaidi kuliko hata wewe.Kuthibitisha hili muulize mtoto yeyote mwenye umri katia ya miaka mitano mpaka kumi swali hili; ukiwa...
Leo ndio nimeelewa maana ya msemo "capitalize on your strengths". Jamaa anawapa somo wadada hapa.
Kama strength yako ni sura nzuri, capitalize on it, make it more beautiful. Men will fall for it...
KAKA! umeoa MTOTO wa KIPEMBA una siku 3 toka umuoe. Ndani ya siku 3 Dem hajakupa Uroda kwani yuko hedhi. Na bado Mtoto BIKRA na akakuhaidi kukupa kesho siku ya 4. Kesho ikafika ukamuandaa vizuri...
Tendo la ndoa pamoja na uzuri wake lina madhara yake wazungu wanasema anything too much is harmful.Tendo la ndoa liliumbwa kwa ajiri ya starehe na kuzaliana kufanya tendo la ndoa mara nyingi sana...